DUKA LA KISASA LA FEEDTAN

Dodoso

Feedtan inapanga kuanzisha duka la Kisasa (Feedtan Mini Supermarket) litakalowawezesha wanachama kupata bidhaa bora kwa bei nafuu, kuagiza wakiwa mahali popote (huduma ya usafirishaji), na pia kutoa fursa kwa wanachama kuuza bidhaa zao kupitia duka hili.

Lengo letu ni kuboresha upatikanaji wa bidhaa muhimu, kupunguza gharama, na kuongeza fursa za kipato kwa wanachama wote.

Bidhaa Bora bei Nafuu

Pata bidhaa za hali ya juu kwa bei zinazofaa

Huduma ya Usafirishaji

Pokea bidhaa zako mahali popote ulipo

Fursa ya Kuuza

Uweza kuuza bidhaa zao kupitia duka letu

Tafadhali jaza uchunguzi huu fupi

Ili kutusaidia kuelewa ni bidhaa zipi zina uhitaji mkubwa na jinsi ya kuboresha huduma hii. 🙏

Uchunguzi Utakuwa Na Sehemu Hizi:

1

Bidhaa Unazonunua Mara Nyingi

Vyakula, vinywaji, bidhaa za usafi, bidhaa za watoto, snacks, skincare products

2

Huduma ya Usafirishaji

Je, ungependa kupokea bidhaa zako mahali popote?

3

Jedwali la Uchunguzi

Maelezo ya kila bidhaa unayonunua mara nyingi

4

Bidhaa Zisizopatikana Kirahisi

Ni bidhaa gani zinahitajika lakini vigumu kupata

5

Bidhaa za Kuuza

Ni bidhaa gani ungependa kuuza kupitia duka letu

6

Mapendekezo Mengine

Maoni yoyote kuhusu wazo hili la duka

Kwa mawasiliano zaidi

Ikiwa una maswali yoyote kuhusu Duka la Kisasa la Feedtan, tafadhali wasiliana nasi

feedtan15@gmail.com
+255717358865