Tafadhali jaza uchunguzi huu fupi ili kutusaidia kuelewa ni bidhaa zipi zina uhitaji mkubwa na jinsi ya kuboresha huduma hii. 🙏
Vyakula (mchele, unga, mafuta, sukari, mayai, mkate)
Vinywaji (soda, juice, maji)
Bidhaa za usafi (sabuni, dawa ya meno, detergent, tissue)
Bidhaa za Watoto (diapers, maziwa ya Watoto, babywipes, babysoap & oil)
Snacks (biscuit, chocolates, pipi, crips, karanga, korosho)
Skincare products (lotion, cleanser, showergel, facewash, shampoo)